Kwa mujibu wa Shirika la habari la Kimataifa la Ahlulbayt (a.s) - ABNA, Hafla ya kufunga Tamasha la Kwanza la Kimataifa la "Safinatul Najat" lilifanyika katika maeneo ya Karibu na Haram ya Imam Hussein (a.s) katika mji wa Karbala. Katika hafla hiyo, washindi wa tukio hili la kitamaduni walipokea tuzo za shukrani na zawadi mbalimbali kwa kufanikiwa kwao.

27 Aprili 2025 - 18:03

Ripoti ya Picha | Hafla ya Kufunga Tamasha la Kwanza la "Safinatul Najat" katika Mji wa Karbala

Your Comment

You are replying to: .
captcha