Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlulbayt (a.s) - ABNA - , Mwili wa Shahidi Mujahid "Ali Kayid Hashim" maarufu kama "Baqir" kutoka katika safu ya Mashahidi wa Hezbollah ya Lebanon ulizikwa katika mji wa "Majdalzun" Kusini mwa Lebanon. Kijana huyu Mwana Jihad alikufa Kishahidi siku za hivi karibuni katika shambulizi la ndege zisizo na rubani za jeshi la utawala wa Kiyahudi (Israel) katika maeneo ya Kusini mwa Lebanon.
27 Aprili 2025 - 18:10
News ID: 1552858
Your Comment