Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Wanajeshi wa Jeshi la Polisi linalohusika na kazi ya Ulinzi na Usalama wa Raia nchini Tanzania, wamepata fursa ya kufanya kitendo cha Utu, upendo na uungwana kwa kutembelea Kituo cha Watoto Yatima kilichopo chini ya Taasisi ya Kiislamu ya Goodwill Foundation - Tanga, Tanzania. Katika Ziara hiyo, walikaa na Watoto hao Yatima, wakacheza nao, na Kula nao chakula na kuwafariji kwa kila namna ya kuwafariji.
2 Mei 2025 - 21:53
News ID: 1554318
Ziara hii muhimu ina Ujumbe na Hekima hii kuwa:
"Cheo au wadhifa haukufanyi kusahau watoto katika jamii yetu!"
Your Comment