Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Idadi ya Maulamaa kadhaa kutoka katika Hawza ya Kidini ya Najaf al-Ashraf, walifanya ziara katika Ofisi ya Jumuiya ya Ahlul-Bayt (a.s) huko Qum na kumtembelea Ayatollah Reza Ramezani, ambaye ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo.
4 Mei 2025 - 16:44
News ID: 1554938
Your Comment