Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Daura ya Qur'an Tukufu katika Shule ya Sekondari ya Khatamul - Anbiyaa, iliyopo Mti mmoja, Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha. Kituo hiki ni Kituo Muhimu cha Qur'an na Tawi la Kituo Kikubwa kilichopo Arusha, kilichopewa Jina la "Soma Qur'an". Ndani yake yanatolewa masomo mbalimbali ya Qur'an Tukufu kama vile Taj'wid, Tartil, Tafsir Maudhui, na Hifdhi ya Qur'an Daura hii inaendeshwa na Sheikh Ridha Dosa.

4 Mei 2025 - 23:43

Daura ya Qur'an Tukufu iliyopewa Jina la "Soma Qur'an" inaendelea Mti Mmoja, Wilaya ya Monduli, Mkoani Arusha

Your Comment

You are replying to: .
captcha