Kwa mujibu wa Shirika la Habari la AhlulBayt (as) -ABNA- Mama wa Kipalestina katika maeneo mbalimbali ya Gaza, ambao wamewapoteza watoto na jamaa zao kutokana na mashambulizi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni, wanaishi katika mazingira magumu na ya mateso makubwa wakiwa kwenye mahema. Tizama taswira ya picha hizo hapo chini.
11 Mei 2025 - 16:08
News ID: 1557028
Your Comment