Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Ziara ya Bilal Kenya iliyoongozwa na Sheikh Abdallah Sahafik kutoka Afrika Kusini. Katika ziara hii ya Kitabligh Sheikh Abdallah aliambatana na Sheikh Ali Samojah na Sheikh Juma Shughuli. Masheikh walikutana na Mubaligh wa Bilal Kenya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu. Mazungumzo yenye tija yalifanyika!
20 Mei 2025 - 00:03
News ID: 1690682
Your Comment