Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wanafunzi wa Hawza ya Imam Ridha (a.s) - Ikwiriri wakiendelea kujielimisha kwa bidii kupitia usomaji wa Qur'an Tukufu wa pamoja, na kushiriki kikamilifu katika Swala ya Jamaa.
20 Mei 2025 - 13:25
News ID: 1690825
Katika mazingira ya kiroho na elimu, tunakuza maarifa, maadili, na uhusiano wa karibu na Kitabu cha Mwenyezi Mungu.
Elimu, Imani na Ucha-Mungu ndiyo dira ya safari yetu ya kielimu.
Your Comment