Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Tukio la kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa shahidi Rais, Syed Ebrahim Raisi na Mashahidi wa ajali ya ndege ya Mwezi Mei, lilifanyika leo asubuhi (Jumanne) katika Husseiniyah ya Imam Khomeini (M.A), na kuhudhuriwa na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Khamenei.
20 Mei 2025 - 16:23
News ID: 1690924
Katika tukio hili, Ayatollah Khamenei alitoa hotuba maalum kwa ajili ya kuenzi na kumkumbuka Rais Raisi na Mashahidi wa ajali hiyo, na kuongeza msisitizo kuhusu thamani ya huduma zao kwa Taifa la Iran.
Picha zinazohusiana na tukio hili
Your Comment