Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Katika Picha ni Wanafunzi wa Chuo cha Uwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (s) – Nchi Malawi wakiendelea na programu ya kila Siku ya Usomaji wa Qur'an Tukufu katika Masjid ya Jamiat Al-Mustafa (s) - Malawi. Tunamuomba Allah azidi kutupa Tawfiq ya Kuisoma Qur'an Tukufu na anawirishe nyoyo zetu kwa Qur'an.
26 Mei 2025 - 23:39
News ID: 1692884
Your Comment