Kwa mujibu ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) –ABNA– Ayatollah "Ramezani" Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s), alisafiri kwenda nchi ya Niger, Magharibi mwa Bara la Afrika, kwa mwaliko wa Viongozi wa Dini wa nchi hiyo. Uwanja wa ndege wa Mji wa Niamey, viongozi wa Dini wa Niger walimkaribisha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s).
27 Mei 2025 - 17:06
News ID: 1693132
Your Comment