Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-, Sherehe ya kumaliza masomo ya Wanafunzi wa Jamiat Al-Mustafa (s), tawi la Niger ilifanyika jijini Niamey, mji mkuu wa Niger, kwa kuhudhuriwa na Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s). Ayatollah Ramazani alisafiri kwenda Niger, nchi iliyoko Afrika Magharibi, kwa mwaliko wa viongozi wa kidini wa nchi hiyo.
29 Mei 2025 - 09:55
News ID: 1693703
Your Comment