Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Mitihani ya mwisho wa muhula wa kwanza wa mwaka wa masomo 2025 katika Hawza ya Hazrat Zainab (SA), Kigamboni - Dar-es-Salam, Tanzania, imeanza rasmi. Tunawaombea mafanikio wanafunfi hawa katika mitihani yao, na si tu katika mitihani yao bali pia katika safari yao yote ya kuchuma elimu na maarifa. Kwa ujumla, Mwenyezi Mungu awape ufanisi, maarifa yenye manufaa, na moyo wa kujitahidi kwa ajili ya Uislamu na jamii.
2 Juni 2025 - 21:13
News ID: 1694957
Your Comment