Kulingana na Ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) -ABNA- Maeneo yote ya Haram Tukufu ya Imam Ali (as) yamefunikwa kwa rangi nyeusi kuadhimisha kumbukumbu ya Shahada ya Imam Muhammad Baqir (as) pamoja na Muslim bin Aqil (as). Hii ni ishara ya maombolezo na heshima kutoka kwa wafuasi wa Madhehebu ya Shi'a kwa Imam huyo Mtoharifu.

3 Juni 2025 - 16:54

Habari Pichani | Haram ya Imam Ali (a.s) imefunikwa kwa rangi nyeusi kufuatia kumbukumbu ya Shahada ya Imam Baqir (a.s)

Your Comment

You are replying to: .
captcha