Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Mkutano wa mazungumzo ya dini na madhehebu uliohudhuriwa na Ayatollah “Reza Ramezani,” Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ulimwengu ya Ahlul Bayt (a.s), ulifanyika katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Accra, mji mkuu wa Ghana. Na kwa hakika ulikuwa na mafanikio makubwa na umeacha athari chanya.
8 Juni 2025 - 17:16
News ID: 1696455
Your Comment