Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Ahlulbayt (as) -ABNA- Ofisi ya Shirika la Habari la ABNA nchini Ghana imezinduliwa kwa kuhudhuriwa na Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s), pamoja na Hassan Sadraei Aref, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Habari la ABNA. Ayatollah Ramezani pamoja na ujumbe wake walifika Ghana kwa mwaliko wa viongozi wa kidini wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
8 Juni 2025 - 18:02
News ID: 1696483
Your Comment