Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kituo kipya cha Shia kimefunguliwa Jana katika Wilayat ya Kwimba Jijini Mwanza. Katika Picha pia anaonekana Ndugu Dhulfiqal Ally akikabidhi kalenda 25 mpya za Mwaka 1447 hijiria katika Hafla ya Ufunguzi wa Msikiti Ngudu. Kalenda hizo ni zawadi kwa Waumini kutoka katika taasisi ya The Desk and Chair foundation chini ya Alhaj Sibtain Meghjee.

9 Juni 2025 - 21:04

Mwanza , Wilayat ya Kwimba - Kituo kipya cha Kishiachini ya Taasisi ya Al-Hussein Foundation - Arusha kimefunguliwa 8 Juni, 2025 + Picha

Mwanza , Wilayat ya Kwimba - Kituo kipya cha Kishiachini ya Taasisi ya Al-Hussein Foundation - Arusha kimefunguliwa 8 Juni, 2025 + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha