Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mwanzo wa mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza katika Hawzat ya Imam Zainul Abidin (amani iwe juu yake) Nchini Burundi. Mtihani wa Kwanza imefanyika Leo hii ukihusiana na hifdhi ya Qur'ani Tukufu na Ahkam.
10 Juni 2025 - 13:47
News ID: 1696997
Your Comment