Masomo waliyofanyia mitihani ni kama yafuatayo: 1_Vyanzo vya Sunna Tukufu. 2_Misingi ya Lugha ya Kiarabu (مبادئ العربية) – Sehemu ya 2 (Nahau).
11 Juni 2025 - 11:57
News ID: 1697281
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo tarehe 11 Juni, 2025, Wanafunzi wa Hawzah ya Imam Zayn al-‘Abidin (A.S) nchini Burundi wamefanya Mitihani ya siku ya pili ya mwisho wa muhula wa kwanza.
Masomo waliyofanyia mitihani ni kama yafuatayo:
1_Vyanzo vya Sunna Tukufu.
2_Mazungumzo ya Kiarabu.
3_Sira ya Ahlul-Bayt (A.S).
4_Uandishi na Tahajia.
5_Misingi ya Lugha ya Kiarabu (مبادئ العربية) – Sehemu ya 2 (Nahau).
Your Comment