Kwa kuwa viongozi wetu wa kuigwa ni Maimamu watoharifu (A.S), mmoja wao akiwa ni Imam Hadi (A.S), basi tunapaswa kufuata mfano wake wa subira na ustahimilivu.

12 Juni 2025 - 19:40

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Imam Hadi (as) - Hawzat Hazrat Zahra (sa) - Kigamboni, Dar-es-salaam.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Leo Tarehe 12/6/2025 yamefanyika Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Imam Hadi (A.S) katika Hawzat ya Mabinti iliyopo Kigamboni Jijini Dar-es-salaam - Tanzania.

Mada kuu iliyotawala Sherehe hii ya kuzaliwa kwa Imam Hadi (A.S) ilikuwa ni "Imam Hadi (A.S) na subira".

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Imam Hadi (as) - Hawzat Hazrat Zahra (sa) - Kigamboni, Dar-es-salaam.

Katika hafla hiyo, ilielezwa kwa wanafunzi wapendwa kuwa katika zama hizi, ni lazima kila mtu anayejihusisha na shughuli za tablighi awe na subira ili kufanikisha lengo lake kwa mafanikio.

Kwa kuwa viongozi wetu wa kuigwa ni Maimamu watoharifu (A.S), mmoja wao akiwa ni Imam Hadi (A.S), basi tunapaswa kufuata mfano wake wa subira na ustahimilivu.

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Imam Hadi (as) - Hawzat Hazrat Zahra (sa) - Kigamboni, Dar-es-salaam.

Wanafunzi wote walishiriki katika tukio hilo lililodumu kwa muda wa nusu saa.

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Imam Hadi (as) - Hawzat Hazrat Zahra (sa) - Kigamboni, Dar-es-salaam.

Your Comment

You are replying to: .
captcha