Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wanafunzi wa Madrasa ya Qur'an Tukufu - Zanzibar, wamehuisha Siku adhimu ya Kuzaliwa kwa Imam Al-Hadi (as) kwa kufanya Majlisi Muhimu ya Kuzungumzia Sifa na Fadhila za Imam Al-Hadi (as).
12 Juni 2025 - 22:08
News ID: 1697589
Your Comment