Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kwa kuzingatia umuhimu wa nafasi ya Uimamu katika fikra ya Kiislamu na nafasi maalumu ya Imam Ali bin Abi Talib (a.s) kama Imamu na Khalifa wa kwanza kwa Mujibu wa Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) na Mrithi wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), mkutano wa kitaaluma kwa anuani: Ghadir: Misingi, Ushahidi na Matokeo ya Kihistoria* umefanyika Nchini Malawi katika Kituo cha Kielimu cha Jamiat Al-Mustafa (s).

12 Juni 2025 - 22:27

Jamiat Al-Mustafa (s) Malawi | Kikao cha Kitaaluma Kuhusu Eid -ul- Ghadir + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha