Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlulbayt (a.s) -ABNA- Hafla ya usiku wa Sikukuu ya Ghadir Khum pamoja na kulaani jinai za utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifanyika katika Msikiti wa Imam Ridha (a.s) eneo la Golsar mjini Rasht.
14 Juni 2025 - 23:18
News ID: 1698098
Katika hafla hiyo, Ayatollah Reza Ramezani, mwakilishi wa watu wa Gilan katika Baraza la Wataalamu wa Uongozi (Majlis Khobregan Rahbari), alitoa hotuba maalumu juu ya mnasaba huu.
Your Comment