Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Usiku wa kuamkia siku ya Eid ya Ghadir, Sherehe kubwa ya kuadhimisha Siku hii adhimu imefanyika katika ukumbi wa Imam Khomein (ra) uliopo katika vya Haram ya Sayyidat Maasumah (sa) katika Mji wa Qom. Watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wamehudhuria katika hafala hii ya kuadhimisha Siku adhimu ya Ghadir Khum.
15 Juni 2025 - 15:26
News ID: 1698427
Your Comment