Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wananchi wengi wa Isfahan kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa huu wamekusanyika katika uwanja wa Imam Hussein (as) uliopo katika Mji wa Isfahan kwa ajili ya kuonyesha sapoti yao na kushukuru Iran kwa sababu ya Operesheni yake ya kijeshi ya "Ahadi ya Kweli - 3" dhidi ya Utawala haram wa Kizayuni.

15 Juni 2025 - 15:34

Mkusanyiko wa Wananchi wa Mji wa Isfahan - Iran katika kusapoti Operesheni ya Kijeshi ya Iran ya "Ahadi ya Kweli_3" + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha