Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Majlisi (Vikao) mbalimbali vya Maombolezo ya Shahada ya Imam Hussein (as) vinaendelea nchini Burundi, ambapo Imam Hussein (as) anazungumziwa katika eneo hilo na duniani kote kwa ujumla kuwa: Yeye ni ishara ya ujasiri, uadilifu, uhuru na upinzani dhidi ya dhulma na uistikbari. Yeye ndiye kielelezo cha dhabihu na kujitolea kwa ajili ya maadili bora ya kibinadamu.

1 Julai 2025 - 18:49

Nchini Burundi | Mimbari ya Imam Hussein(as) inamtambua Hussein(as) kama  ishara ya ujasiri, uadilifu, uhuru na upinzani dhidi ya Dhulma na Uistikbari

Your Comment

You are replying to: .
captcha