Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Majlis ya Imam Husein (as) ikiendeshwa makhsusi kwa Kinamama inaendelea kila siku ikiongozwa na Ustadhati Zainab Ndete.Waumini mbalimbali Wanawake wa Kiislamu wanajitokekeza kutoka maeneo mbalimbali na kukusanyika kwa Pamoja kwa ajili ya kupata Darsa mbalimbali zilizomo ndani ya Mapinduzi Matukufu ya Kiislamu ya Karbala, yaliyosimamiwa kikamilifu na Imam Hussein (as) Katika Ardhi ya Karbala.
2 Julai 2025 - 23:20
News ID: 1704319
Your Comment