Maombolezo haya, yalijumuisha pia Mashairi ya Maombolezo ya huzuni, na kuangazia sifa za kipekee za Ali Akbar (a.s) – Kijana wa Imam Hussein (a.s) ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu katika ardhi ya Karbala.
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo hii, Alhamisi usiku, 3 Julai 2025 - Maombolezo kwa ajili ya kumuenzi Bwana wa Mashahidi, Shahidi wa Karbala, Imam Hussein (a.s) yamefanyika katika Taasisi ya Kimataifa ya Al-Mustafa(s), Dar es Salaam, Tanzania.
Wahadhiri: Sheikh Salum Abbas na Sheikh Abdullah Likokwe.
Mada kuu: Ali Akbar (a.s), Mfano wa kijana wa Kiislamu katika uaminifu, ujasiri, na kujitolea kwa ajili ya Haki.

Your Comment