Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Sheikh Abdallah Khamis Salum akiwahutubia waumini na wale wote waliokua wakiyaona na kuyasikia maandamano ya amani katika kumbukizi ya Shahada ya Imamu Hussein (a.s) jijini Arusha. Ni Masira ya tarehe 9 Muharam 1447H sawa na tar 5 /7/2025. Waumini wengi Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (as) walijitokeza Kwa wingi katika Maandamano haya.
8 Julai 2025 - 00:46
News ID: 1705557
Your Comment