Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kwa uwezo wa Allah (swt), ndani ya wiki hii, Term ya Pili ya Masomo Matukufu ya Dini Tukufu imeanza Rasmi katika Madrasat ya Imam Zainul-Abidina (as), Nchini Burundi. Elimu ni Nuru.
10 Julai 2025 - 13:42
News ID: 1706540
Your Comment