Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Katika Picha na video hizi ni Mkoani Tabora Waumini Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (as) wakiwa katika kuhuisha Majlisi inayohusiana na Mateka wa Karbala. Majlisi hizi zinafanyika katika usseiniyyah ya Imam Mahdi (a.t.f.s) iliyopo katika Mkoa wa Tabora - Tanzania.
10 Julai 2025 - 14:04
News ID: 1706543
Waumini Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (as) wakiwa katika kuhuisha Majlisi inayohusiana na Mateka wa Karbala. Majlisi hizi zinafanyika katika usseiniyyah ya Imam Mahdi (a.t.f.s) iliyopo katika Mkoa wa Tabora - Tanzania.
Your Comment