Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Taasisi Chuo cha Jamiat Al-Mustafa (s), Dar -es- Salaam, Tanzania, Darsa ya Qur'an Tukufu ya Kila Alkhamisi, iliendelea kwa kusimamiwa na Samahat Sheikh Khamis Mpili. Hakika Qur'an ni Nuru ya Maisha yetu.
10 Julai 2025 - 17:15
News ID: 1706563
Qur'an ni Nuru ya Maisha yetu
Your Comment