Majlis ya Muharram Katika kuomboleza na kuhuisha Shahada ya Imam Hussein (as) imefanyika katika Ardhi ya Kaole, Bagamoyo katika eneo walipozikwa Masharifu.

12 Julai 2025 - 23:35

Bagamoyo -Kaole- Muharram 1447Hijria - 2025 | Majlis ya Shahada ya Imam Hussein (as) Baada ya A'shura

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania T.I.C Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge akisoma Majlis juu ya Mateso ya familia ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika masiku ya kumbukizi ya Imam Hussein (a.s) katika Ardhi ya KAOLE - BAGAMOYO sehemu walipozikwa Masharifu (wa Kizazi cha Mtume Muhammad -saww-)

Majlis hiyo imefanyika leo, tarehe 12-07-2025 sawa na 17 Muharram 1447
Kauli Mbiu: KARBALA SIRI YA USHINDI WETU.

#karbalaasubiranaushindi 
#karbalaandiyonguvuyetu 
#husseinniwawatuwote 
#KaoleKwaMasharifu
#Bagamoyo

Your Comment

You are replying to: .
captcha