Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Waislamu wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) wakutana Kisawani Unguja kwa ajili ya kuhuisha Majalis za Muharram Katika kisiwa hiki, wakikutana kutoka sehemu mbali mbali za Kenya, Tanzania. Miongoni mwa waliohudhuria ni pamoja na Mzee wetu Dr. Khatibu, Sheikh Abdul Ghani Khatibu, na Masheikh wengi wahudumu wa Ahlul-Bayt (as).
13 Julai 2025 - 23:50
News ID: 1707553
Your Comment