Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo hii Masira makubwa katika kuhuisha Shahada ya Imam Hussein (as) katika Ardhi ya Karbala yamefanyika Temeke Jijini Dar-es-salaam - Tanzania yakiwahusisha Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar-es-salaam
14 Julai 2025 - 00:04
News ID: 1707555
Your Comment