Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) Nchini Tanzania Katika Mkoa wa Morogoro, wamejitokeza kwa wingi katika Masira ya Kuhuisha Shahada ya Imam Hussein (as) na kulaani Mauaji ya Karbala. Uislamu Asili wa Mtume Muhammad (saww) unazidi kufika maeneo yote katika Mkoa wa Morogoro na Nuru ya Ahlul-Bayt (as) inawaangazia watu Usiku na Mchana.
15 Julai 2025 - 14:43
News ID: 1708083
Your Comment