Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Somo la Qur'an Tukufu, ni katika masomo muhimu mno yanayopewa kipaumbele katika Madarisi za Kiislamu Tanzania. Katika Picha ni Ustadhi Mohammad Ridha Dosa akiendelea kuwanoa vizuri Vijana katika somo la Hifadhi ya Qur'an Tukufu na Qiraa kwa Njia zote za Fani ya Qiraa. Madrasa hii ya Qur'an ipo Jijini Arusha - Tanzania.

16 Julai 2025 - 12:29

Your Comment

You are replying to: .
captcha