Tunawatakia mafanikio Wanafunzi wote katika mitihani yao.
21 Julai 2025 - 12:34
News ID: 1710117
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mitihani ya mwisho wa term inaendelea katika Kituo cha Kiislamu cha Al-Hadi kilichopo Nchini Malawi.
Mitihani hii inasimamiwa na Uwakilishi wa Jamiatu Al-Mustafa (s) hapa nchini Malawi.
Tunawatakia mafanikio Wanafunzi wote katika mitihani yao.
Tumekuwekea hapo chini picha zaidi za taswira ya Utaratibu wa Mitihani unavyoendelea katika Chuo cha Kiislamu cha Al-Hadi (as) Nchini Malawi.
Your Comment