Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul Bayt (A.S) - ABNA - Katika ziara yake katika Mji Mtakatifu wa Qom, Rais wa Iran Masoud Pezeshkian alitembelea Haram / Kaburi Tukufu la Hadhrat Fatima Masoumeh (SA) na kutoa heshima kwa Madhabahu / Haram Tukufu ya Bibi Yetu Mkarimu wa Ahlul-Bayt (as) na mwenye Hadhi. Pia alitembelea / Alizuru Kaburi la Marehemu Dolabi na kisha kutoa heshima zake kwenye Kaburi la Marhumu Shahidi Mohammad Saeed Izadi (Hajj Ramadhani).
23 Julai 2025 - 19:41
News ID: 1710763
Your Comment