Imam Ali (a.s) amesema: “Jifunze Qur'an, kwani ndiyo mazungumzo bora kabisa, na tafakari ndani yake, kwani Qur'an ni chemchemi ya maisha ya moyo.”
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-
«خَیْرُکُمْ مَنْ تَعَلَّمَ الْقُرآنَ وَ عَلَّمَهُ»
Imam Ali (a.s) amesema:
“Jifunze Qur'an, kwani ndiyo mazungumzo bora kabisa, na tafakari ndani yake, kwani Qur'an ni chemchemi ya maisha ya moyo.”
«تَعَلَّموا القرآنَ؛ فإنّهُ أحسَنُ الحَدیثِ، وتَفَقَّهُوا فیهِ فإنَّهُ رَبیعُ القُلوبِ».
(Nahjul Balagha, Hotuba ya 110).
Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) amesema:
“Mbora wenu ni yule anayejifunza Qur'an na kisha kuwafundisha wengine.”
«خَیْرُکُمْ مَنْ تَعَلَّمَ الْقُرآنَ وَ عَلَّمَهُ»
(Nahjul Fasaha, Hadithi ya 1524).
Amefaulu mwenye kuisoma Qur'an, na kuiweka katika maisha yake, na kuipa nafasi katika moyo wake.
Your Comment