Katika hafla hiyo, Ayatullah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt (a.s), alikuwa mzungumzaji mkuu. Aidha, kabla ya kuanza kwa hafla hiyo, Ayatullah Ramazani alitembelea mahali walipouawa mashahidi hao wa thamani.
Kwa mujibu wa shirika la habari la kimataifa la Ahlul-Bayt (as) –ABNA– Maadhimisho ya siku ya arubaini ya kuuawa shahidi kwa mwanasayansi wa nyuklia, Shahidi Dkt. Siddiqi Saber, pamoja na mashahidi 16 wa shambulizi la utawala wa Kizayuni dhidi ya Astaneh Ashrafieh, yalifanyika alasiri ya leo Jumatano, 15 Mordad 1404 H.sh (sawa na Agosti 6, 2025) katika makaburi ya mashahidi wa Astaneh Ashrafieh.

Your Comment