Idara husika ya Taaluma imesisitiza kuwa uendelevu wa mitihani hii una nafasi muhimu katika kuboresha ubora wa elimu ya chuo na kukuza wanafunzi wenye uwezo na ujuzi wa hali ya juu.
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mitihani ya kila wiki kwa Wanafunzi wa CHUO cha Jamiatul Mustafa (s) imefanyika Leo hii Jumamosi tarehe 09-08-2025.
Mitihani hii imelenga kupima maendeleo ya masomo, kubaini maeneo yenye nguvu na udhaifu, na kuinua viwango vya kielimu vya wanafunzi.
Wanafunzi walijibu maswali mbalimbali kutoka kwenye mada tofauti za masomo ili kupima maandalizi yao kwa ngazi za juu zaidi za kielimu.
Idara husika ya Taaluma imesisitiza kuwa uendelevu wa mitihani hii una nafasi muhimu katika kuboresha ubora wa elimu ya chuo na kukuza wanafunzi wenye uwezo na ujuzi wa hali ya juu.
Your Comment