Maukibu hii, iliyoanzishwa kwa jitihada za Sheikh Ismail Bokassa pamoja na kundi la wanaharakati wa kitamaduni, imepokea kwa shangwe kubwa wageni wa ziara na familia, na inasimulia uhusiano wa kina kati ya Afrika na harakati ya Ashura.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Maukibu ya kitamaduni “Ushaq al-Husayn (a.s) – Afrika” iliyo katikati ya barabara ya Najaf kuelekea Karbala, katika Nguzo ya 379, kupitia mabanda yake mbalimbali ya kitamaduni, ya habari, na ya watoto, imefungua dirisha kuelekea historia, utamaduni na mapambano ya wananchi wa Afrika.
Maukibu hii, iliyoanzishwa kwa jitihada za Sheikh Ismail Bokassa pamoja na kundi la wanaharakati wa kitamaduni, imepokea kwa shangwe kubwa wageni wa ziara na familia, na inasimulia uhusiano wa kina kati ya Afrika na harakati ya A'shura.
Your Comment