Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Mkutano wa Kimataifa wenye mada ya “Arubaini, Umoja wa Kiislamu na Masuala ya Uislamu Duniani” umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa *Bwana Mtukufu Khātam al-Awsiyaa (s.a) ndani ya Haram Tukufu ya Imam Hussein (a.s), mjini Karbala al-Muqaddasah, kwa ushiriki wa kundi la wanazuoni kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu, siku chache kabla ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s).
Mkutano wa Kimataifa wenye mada ya “Arubaini, Umoja wa Kiislamu na Masuala ya Uislamu Duniani” umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Bwana Mtukufu Khātam al-Awsiyaa (s.a.w.w) ndani ya Haram Tukufu ya Imam Hussein (a.s), mjini Karbala al-Muqaddasah, kwa ushiriki wa kundi la wanazuoni kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu, siku chache kabla ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s).
Your Comment