Katika tukio hilo, amesisitiza juu ya umuhimu wa kufanya ziara ya Imam Hussein (a.s) katika siku za Arbaeen na kudumisha thamani za kujitolea, uthabiti na imani.
12 Agosti 2025 - 16:08
News ID: 1716400
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA– Ayatollah Al-Udhma Bashir Hussein Najafi, kiongozi mashuhuri wa dini na marjaa wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia, ameshiriki katika matembezi ya pamoja ya mahujaji wa Arbaeen kuelekea mji mtukufu wa Karbala.
Katika tukio hilo, amesisitiza juu ya umuhimu wa kufanya ziara ya Imam Hussein (a.s) katika siku za Arbaeen na kudumisha thamani za kujitolea, uthabiti na imani.
Your Comment