Ayatollah Ramezani alitembelea baadhi ya Mawkib za kimataifa katika njia hii na kutoa shukrani kwa wale wote wanaoshiriki katika utumishi na Huruma kwa Mazuwwari wa Aba Abdillah al-Hussein (a.s).
13 Agosti 2025 - 19:34
News ID: 1716645
Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s), ameshiriki pamoja na mamia ya Mazuwwari wa Arbaeen katika Njia ya Hussein -as- (njia ya kutembea kwa miguu kutoka Najaf hadi Karbala).
Ayatollah Ramezani alitembelea baadhi ya Mawkib za kimataifa katika njia hii na kutoa shukrani kwa wale wote wanaoshiriki katika utumishi na Huruma kwa Mazuwwari wa Aba Abdillah al-Hussein (a.s).
Your Comment