Khatibu wa Majlis (Shekh Ridhwa Dosa), aliangazia Falsafa ya Maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) Fadhila za kumzuru Mjukuu wa Mtume (saww), Hussein bin Ali bin Abi Talib (as).
16 Agosti 2025 - 22:29
News ID: 1717356
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo, Tarehe 16 Agosti 2025 imefanyika Majlis ya Aba Abdillah Al-Hussein (as) katika Msikiti wa Khatamul-Anbiyaa, Mti Mmoja, Monduli - Arusha, Tanzania.
Khatibu wa Majlis hii:
Shekh Ridhwa Dosa, ambapo aliangazia Falsafa ya Maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) Fadhila za kumzuru Mjukuu wa Mtume (s.a.w.w), Hussein bin Ali bin Abi Talib (as).
Your Comment