Sheikh Suleiman Abdul, ambaye alihutubia waumini kuhusu mafundisho na thamani za kudumu za mapambano ya Imam Hussein (a.s).

17 Agosti 2025 - 22:12

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo hii, Maadhimisho ya Arubaini ya Mashahidi wa Karbala pamoja na kumkumbuka Imam, Aba Abdillāh al-Ḥusayn (a.s) yamefanyika katika Hosseiniyyah ya Khoja, Moshi Mjini.

Majlisi ya Arubaini ya Aba Abdillāh al-Ḥusayn (a.s) na Mashahidi wa Karbala yafanyika Mjini Moshi +Picha

Mzungumzaji katika Majlisi hiyo alikuwa ni Sheikh Suleiman Abdul, ambaye alihutubia waumini kuhusu mafundisho na thamani za kudumu za mapambano ya Imam Hussein (a.s).

Majlisi ya Arubaini ya Aba Abdillāh al-Ḥusayn (a.s) na Mashahidi wa Karbala yafanyika Mjini Moshi +Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha