Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s), Ayatullah Sheikh Reza Ramadhani, alitoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Shahada ya Imam Ridha (a.s) katika mji wa Mahdiyeh, ulioko mkoa wa Rasht, kaskazini mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
24 Agosti 2025 - 14:52
News ID: 1719812
Your Comment