Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Jana kulifanyika kikao kati ya maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na wanazuoni na wanafikra walioshiriki katika Kongamano la 39 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu lililohudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi.
9 Septemba 2025 - 12:58
News ID: 1725298
Your Comment